Kuhusu “Uliza Mwanagenzi”

Uliza mwanagenzi ni mojawapo ya tovuti za Mwanagenzi Mtafiti zinazolenga kumwelimisha mwanafunzi au mpenzi yeyote wa lugha ya Kiswahili.

Hapa, utaweza kuuliza swali lolote kwa lugha ya Kiswahili na wengine watakujibu. Unaposubiri jibu lako, unaweza kusoma maswali na majibu ya watu wengine au unaweza pia kujibu maswali ya wengine.

Ni tumaini letu kuwa utapendezwa na huduma hii ya bure kutoka kwa Mwanagenzi Mtafiti. Hakikisha pia umewaelekeza wengine ili wafurahie uhondo huu.

LimejibiwaAli Mohamed Ndarami aliuliza Miezi 7 zilizopita • 
294 waliosoma2 majibu0 kura
LililofungwaMwanagenzi aliuliza Miaka 2 zilizopita • 
1158 waliosoma2 majibu1 kura
LimejibiwaBthuranira aliuliza Miaka 2 zilizopita • 
3922 waliosoma4 majibu0 kura
LimejibiwaLenny Omolo aliuliza Miaka 2 zilizopita • 
1125 waliosoma3 majibu0 kura
LimejibiwaMswahili wa Bara aliuliza Miezi 10 zilizopita • 
408 waliosoma1 majibu0 kura