Tafsiri ya 'Remote control'

Uliza UjibiweAina: TeknolojiaTafsiri ya 'Remote control'
Lenny Omolo aliuliza Mwaka 1 zilizopita

Naomba kujua ‘Remote Control’ inaitwaje kwa lugha ya Kiswahili. 

Majibu 2
Jibu Bora
Mwanagenzi Msimamizi alijibu Mwaka 1 zilizopita

‘Remote Control’ kwa Kiswahili ni Kitenzambali. 

Muthuri Wa Gakufia alijibu Mwaka 1 zilizopita

Nafikiri ‘Remote Control’  Ni kisamba mbali

Jibu Lako