Tovuti za Ushairi

Uliza UjibiweAina: UshairiTovuti za Ushairi
Mswahili wa Bara aliuliza Miezi 11 zilizopita

Ni tovuti gani bora za kumkuza kiusanii mshairi chipukizi? 

Majibu 1
Bedan Mwakombo alijibu Miezi 11 zilizopita

 Ziko tovuti kadha wa kadha zilizo bora kwa maelezo kemkem ya ushairi. Kwenye tovuti hizo unaweza pia kusoma mashairi mbalimbali. Tazama orodha japo fupi tu ya baadhi ya linki hizo:

  1. http://ushairi.mwanagenzi.com
  2. http://swa.gafkosoft.com/uchambuzi_wa_mashairi
  3. http://www.mwambao.com/mashairi
  4. https://hamzaamohammed.wordpress.com/mashairi/
Jibu Lako